AUDIO: BREEDER LW – BAZENGA VALENTINES

https://i.ytimg.com/vi_webp/4j__d54alX0/maxresdefault.webp

To all my beautiful Kenyan ladies..Bazenga Daddii nimeamua kuwa serenade❤❤ Happy Valentine’s y’all💯

LYRICS

Yoh Hello,

Niaje msupa wa ile smile ya ki princess,

Bazenga Daddii umenibamba nina interest,

Picha zako zinafaa ziuzwe hapo Pinterest,

Na una vako ziuni nice ju ni different,

Hii valentines vile imefika nina swali mingi,

Tukienda date ka chapo dondo na ka firi firi,

Tuki sip ka lemon tea na ka tangawizi,

Utanitoka ama bado utastick na mimi,

Ju nakupenda vile Rao hupenda politics,

So round saba bila break hio ndio policy,

So twende wapi ata Sarova me ntalipa bill,

Ju hawa wasanii hutaka feature hulipa deposit,

Ushai jicheki kwa kioo vile we ni snack,

Uniite Daddii aki walai me nta roger that,

Unadai pete na maua me nadai paka,

Ju una sauce na una flavor huwezi isha ladha,

Nikikusho upike omena utapika kweli,

Na ka mathako hanitaki utanipenda kweli,

Ukinipata na morio wako utado nini? Ju unajua me star kama Bruce Willis,

Tupost selfie IG na ki caption,

Crush wako alete zogo,makahasho,

Usafi flani na hujai nuka jasho,

Si ata pongi iko ina arufu tu ya passion,

Na me rapper ntakusuka ,

utatii,

Ulimi tamu kama biscuit za nuvita mamii,

I’m a G,na vile we hunitoleanga njeve,

Heads up, fika early ,gate hufungwa by 11,

Na ukifika usi knock,Doors open,

Ukitaka ata ingia joh na ndulla no problem,

Pizza inn,Chicken inn hizo zii me ni Bazeng,

Labda strong tea na makeki hazina icing, Basi wapi deep end,naeza dive in,

Siri zako zote we huchora kwa diary,

I hope we si minor,una ID,

Tuanze 3 ngware tumade by 6,

Ma please call me na reverse call, Ju ushani miss na unadai niku sample, Baby Boo, bila make up you still glow, Pombe sigara naeza acha bila struggle, Ikikuja kwako,Ni addiction niko nayo, Ntaku dedia ka nyayo ni me Messi si Adebayor, So tuki set,tuki blaze tumalize mkutano, Wasupa wengi niko nao ntachorea, Prada na Gucci ndio me ntakunyeshea, We ni wa uptown,Westy ama Kile, We hudunga ma crop top,me hudunga ma berret, Nisipo text we hujam saa zingine, I’ll make it up to you,fast usipime, Na hapa Kenya I’m the best in the business, Jua unakatiwa the best,The illest,

BAZEEEENNGA!!!

Similar Posts:

Author: Admin Boss

Leave a Reply

Your email address will not be published.